FAHAMU KUHUSU UCHORAJI
Piko na hina ni pambo la mwanamke linalomvutia na kumpendezesha kwa mumewe.....
mwanamke anapokua amepaka hina mume unatakiwa kujua kua una kazi ya ziada kuongeza dozi.....
kama ulikua unampa wiki mara3 basi ungeze kwa hishima ya hina.....
Hii itaonyesha jinsi gani umelisapoti jambo hili pia huzidisha mapenzi kwake....
Mke unapokua umepaka hina unatakiwa kutulizana nyumbani kwako na mume wako shogar angu .......
Sio kila siku kiguu na njia iliwatu wakuone kama umepaka hina aipendezi......
Tulizana kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako......
Koga jifukize na ujipambe kwajili ya mume wako, jipambe simple, sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza bhana......
Vaa nguo za kuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaopunguza bibi upoo....
Huku kidani shingoni herini sikioni bangili mkononi pete vidoleni na shanga kiunoni bibi.....hapo mume kazi anayo.....
kitandani pavutie chumbani panukie kwa asumini, mawardi na vilua. kabla hajarudi anza kumchokoza mumeo kwa msg za mapenzi ili asichelewe kurudi nyumban....huyo achezi mbalii...
Ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu na jicho la mahaba, muulize hali mpe pole kwa uchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni......
mahanjumati muandalie chakula umlishe huku ukijidekesha kimahaba na huba...na mapenzi kuashiria uko tayari kwajili yake...
itunze ndoa yako bibi, mume ni zawadi kutoka kwa mola wako...usiitupe wanzeko wataiokota....bibie upoo

wanzeko wataiokota....bibie upoo
💜wabillah tawfiq ndugu zangu
ni hayo tu kwa leo.
💜.

ni hayo tu kwa leo.

Maoni
Chapisha Maoni