Machapisho

Urembo wa Picco na Henna

Picha
Urembo huu ni moja kati ya mitindo yenye kupendeza na kuvutia Ni mtindo maarufu sana kwenye maeneo ya pwani hususani ni Tanga, Unguja, Pemba Dar es salaam na Mombasa, na hata kwenye maeneo mengine pia fashion hii ila nadhani wote tutakubaliana ya kuwa kwa hakika ukanda wa pwani ndio kiboko yao. Mtindo huu hutumika pia kwa mabibi harusi na hata wahudhuriaji maharusini na kwenye sherehe zozote zile au kwa ajili ya kujipamba tu. Ikiwa utapata mchoraji mzuri basi kwa hakika utavutia Ruksa na wewe kutupia picha zako mbali mbali zinazoonyesha mtindo huu wa Picco kama nawe ni mpenzi wa mtindo huu 

JIFUNZE KUCHORA PIKO KWA VITENDO

Picha

FAHAMU KUHUSU UCHORAJI

Picha
Piko na hina ni pambo la mwanamke linalomvutia na kumpendezesha kwa mumewe..... mwanamke anapokua amepaka hina mume unatakiwa kujua kua una kazi ya ziada kuongeza dozi..... kama ulikua unampa wiki mara3 basi ungeze kwa hishima ya hina..... Hii itaonyesha jinsi gani umelisapoti jambo hili pia huzidisha mapenzi kwake.... Mke unapokua umepaka hina unatakiwa kutulizana nyumbani kwako na mume wako shogar angu ....... Sio kila siku kiguu na njia iliwatu wakuone kama umepaka hina aipendezi......  Tulizana kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako...... Koga jifukize na ujipambe kwajili ya mume wako, jipambe simple, sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza bhana...... Vaa nguo za kuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaopunguza bibi upoo.... Huku kidani shingoni herini sikioni bangili mkononi pete vidoleni na shanga  kiunoni bibi.....hapo mume kazi anayo..... kitandani pavutie chumbani panukie kwa asumini, mawardi na vilua. kabla hajarudi anza kumchokoza mumeo k...